Print
 1.	BAADHI YA WAHITIMU WA SHAHADA YA KWANZA KATIKA PICHA YA PAMOJA SIKU YA MAHAFALI YA PILI YA KUTUNUKU SHAHADA YA KWANZA NA MAHAFALI YA KWANZA YA STASHAHADA YA UZAMILI YALIYOFANYIKA TAR 25.01.2013 CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU.
 

BAADHI YA WAHITIMU WA SHAHADA YA KWANZA KATIKA PICHA YA PAMOJA SIKU YA MAHAFALI YA PILI YA KUTUNUKU SHAHADA YA KWANZA NA MAHAFALI YA KWANZA YA STASHAHADA YA UZAMILI YALIYOFANYIKA TAR 25.01.2013 CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU.

 
 

MGENI RASMI BI. KIJAKAZI R. MTENGWA, KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO AKIPEANA MKONO NA MJUMBE WA BODI CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU BW.L.G. MSIMBE MARA TU BAADA YA KUWASILI CHUONI SIKU YA MAHAFALI TAR 25.01.2013.

 
 MKUU WA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU BW. ANATORY BUNDUKI (ALIYEVAA SUTI) PAMOJA NA M/KITI WA BODI BI. NDESHUKURWA SUMARI NA MJUMBE WA BODI BW. L.G.MSIMBE WAKIELEKEA OFISINI MARA BAADA YA KUMPOKEA MGENI RASMI.
 
MGENI RASMI BI. KIJAKAZI R. MTENGWA, AKISAINI KITABU CHA WAGENI MARA TU BAADA YA KUWASILI CHUONI HAPA SIKU YA MAHAFALI YA PILI YA KUTUNUKU SHAHADA YA KWANZA NA MAHAFALI YA KWANZA YA KUTUNUKU STASHAHADA YA UZAMILI.
 
BAADHI YA WAHADHIRI WA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU KATIKA PICHA YA PAMOJA SIKU YA MAHAFALI YA KWANZA YA KUTUNUKU STASHAHADA YA UZAMILI NA YA PILI YA SHAHADA YA KWANZA TAR 25.01.2013 CHUONI HAPA (WA KWANZA KUSHOTO) WALIOSIMAMA NI MAKAMU MKUU WA CHUO UTAWALA BW. HAMISI KINGU.
 
 MGENI RASMI BI. KIJAKAZI R. MTENGWA (KATIKATI) AKIWA NA M/KITI WA BODI BI. NDESHUKURWA SUMARI KULIA NA MKUU WA CHUO BW. ANATORY BUNDUKI (KUSHOTO) WAKIELEKEA JUKWAANI MARA BAADA YA MAANDAMANO YALIYOONGOZWA NA BRASS BAND.
 
 KIKUNDI CHA BRASS BAND KUTOKA MOSHI KIKIONGOZA MAANDAMANO SIKU YA MAHAFALI CHUONI HAPA.
 
BAADHI YA WAHITIMU SIKU YA MAHAFALI MARA TU BAADA Y A MGENI RASMI KUWASILI WAKIJIANDAA KUIMBA WIMBO WA TAIFA.
 
 

 MGENI RASMI BI. KIJAKAZI R. MTENGWA, AKITOA HUTUBA SIKU YA MAHAFALI.

 
 WAHITIMU WA STASHAHADA YA UZAMILI WALIOKAA MBELE NA NYUMA NI BAADHI YA WAFANYAKAZI WA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU WAKIMSIKILIZA MGENI RASMI KWA UMAKINI.
 
WAHITIMU WA KITENGO CHA MAENDELEO YA JAMII WAKIMSIKILIZA MGENI RASMI KWA UMAKINI.
 
BAADHI YA WATUMISHI WA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU WAKISIKILIZA KWA UMAKINI HOTUBA YA MGENI RASMI SIKU YA MAHAFALI CHUONI HAPO TAR 25.01.2013.
 
MGENI RASMI PAMOJA NA SAFU YA UONGOZI ILIYOKAA MEZA KUU SIKU YA MAHAFALI WAKIWA WAMESIMAMA KWA AJILI YA KUJIANDAA KUIMBA WIMBO WA TAIFA 25.01.2013.
 
MGENI RASMI KATIKA PICHA YA PAMOJA NA SAFU YA UONGOZI WA CHUO PAMOJA NA BAADHI YA WATUMISHI.
 
MGENI RASMI NA SAFU YA UONGOZI CHUO KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BAADHI YA WAHITIMU SIKU YA MAHAFALI.
 
 BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU WAKIJISOMEA KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MITIHANI.
 
 BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU WAKIJISOMEA KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MITIHANI.
WAKUU WA IDARA, MSAJILI WA WANAFUNZI NA OFISA WA MITIHANI WA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU WAKIFUATILIA KWA UMAKINI MAFUNZO YA MATUMIZI YA MTAMBO WA KUTUNZIA KUMBUKUMBU NA MATOKEO YA WANAFUNZI YALIYOANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO YA KOMPUTA, YALITOLEWA NA BW. BARAKA MTAKATI (HAONEKANI KWENYE PICHA).
ALIYESIMAMA KUSHOTO NI BW.BARAKA MTAKATI AKIWAELEKEZA WAKUU WA IDARA HATUA ZA KUFUATA  KATIKA UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU NA ALIYESIMAMA KULIA NI BW.MATHEW MGENDU MKUU WA KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO YA KOMPUTA.

TIMU YA MPIRA WA PETE YA WAFANYAKAZI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA (ALIYECHUCHUMAA, NI MHADHIRI JOHN GWANYEMBA “King” KIONGOZI WA MICHEZO NA ALIYESIMAMA TATU KULIA NI MHADHIRI GEORGE BAKARI MWALIMU WA TIMU YA MPIRA WA MIKUU “FOOTBALL” NA MWENYE VUVUZELA NI JUSTIN MFANYAKAZI CHUONI, BONANZA HIYO ILIKUWA BAINA YA WAFANYAKAZI NA WANACHUO KWA AJILI YA KUMUENZI MAREHEMU MHADHIRI MGANGALUMA A. ANSELM ALIKUWA MWANAMICHEZO.

WAFANYAKAZI WAKIFURAHIA USHINDI WA KUKU BAADA YA BI. MSEKWA MICHAEL SAFE, KUMFUKUZA NA KUMSHIKA USHINDANI HUO ULIKUWA BAINA YA WANAFUNZI NA WAFANYAKAZI.