Print

 

                                  NAFASI ZA MASOMO (POSTGRADUATE DIPLOMA)

 

MKUU WA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU, ANAPENDA KUWATANGAZIA WAHITIMU WA STASHAHADA YA JUU YA MAENDELEO YA JAMII (ADVANCED DIPLOMA IN COMMUNITY DEVELOPMENT) NA SHAHADA YA KWANZA (BACHELORS DEGREE) WENYE KUHITAJI KUJIUNGA NA KOZI YA STASHAHADA YA UZAMILI YA MAENDELEO YA JAMII) KWA MWAKA WA MASOMO 2013/14 KUWASILISHA MAOMBI YAO CHUONI HARAKA IWEZEKANAVYO

MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 30TH JUNE, 2013.

SIFA ZINAZOTAKIWA MWOMBAJI KUWA NAZO:

(i) UFAULU WA DARAJA LA PILI( SECOND CLASS PASS) KATIKA NGAZI YA STASHAHADA/SHAHADA

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA

MKUU WA CHUO;

P.O.BOX 1006

TEL 0736 210917.

AMA TEMBELEA WEBSITE: www.cdti.ac.tz