Entry Requirments

Sifa za kujiunga na programu ni kama ifuatavyo:
Cheti cha Awali (Basic Technician Certificate-NTA level 4)

 1. Ufaulu wa mtihani wa kidato cha nne angalau masomo manne kwa kiwango cha alama “D” au zaidi

Cheti cha Msingi (Technician Certificate-NTA level 5)

 1. Ufaulu wa mtihani wa kidato cha nne angalau masomo manne kwa kiwango cha alama “D” au zaidi
 2. Cheti cha Awali (NTA level 4) kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)
 3. Ufaulu wa mtihani wa kidato cha sita angalau somo moja katika kiwango cha alama E (Principal pass) au zaidi

Stashahada (Diploma)-(NTA LEVEL 6)

 1. Ufaulu wa mtihani wa kidato cha nne angalau masomo manne kwa kiwango cha alama “D” au zaidi
 2. Cheti cha Msingi (NTA level 5) kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)

Shahada ya Maendeleo ya Jamii(Bachelor of Community Development)

 1. Waombaji wa Kidato cha Sita wawe na ufaulu wa masomo angalau mawili yenye ufaulu wa alama kuanzia D jumla ya pointi nne. Waliomaliza Kidato cha Sita mwaka 2014 na 2015 wawe na angalau ufaulu wa masomo mawili alama C  pointi 4
 2. Waombaji wa Stashahada (NTA level 6) katika fani za Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Maendeleo, Upangaji wa Miradi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Uchumi na Maendeleo, Ualimu, Utawala na Rasilimali watu wawe na wastani wa alama B au GPA ya 3.0 kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na NACTE au TCU
 3. Ufaulu wa mtihani wa kidato cha nne angalau masomo manne kwa kiwango cha alama “D” au zaidi.

Shahada ya Upangaji na Usimamizi Shirikishi wa Miradi (Bachelor of Participatory Project Planning and Management)

 1. Waombaji wa Kidato cha Sita wawe na ufaulu wa masomo angalau mawili yenye ufaulu wa alama kuanzia D jumla ya pointi nne. Waliomaliza Kidato cha Sita mwaka 2014 na 2015 wawe na angalau ufaulu wa masomo mawili alama C  pointi 4
 2. Waombaji wa Stashahada (NTA level 6) katika fani za Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Maendeleo, Upangaji wa Miradi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Ualimu, Utawala na Rasilimali watu, Uhasibu, Takwimu, Uchumi, Uchumi na Maendeleo, Utawala na Biashara na Technolojia ya Mawasiliano wawe na wastani wa alama B au GPA ya 3.0 kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na NACTE au TCU
 3. Ufaulu wa mtihani wa kidato cha nne angalau masomo manne kwa kiwango cha alama “D” au zaidi.

Shahada ya Jinsia na Maendeleo ya Jamii (Bachelor of Gender and Community Development)

 1. Waombaji wa Kidato cha Sita wawe na ufaulu wa masomo angalau mawili yenye ufaulu wa alama kuanzia D jumla ya pointi nne. Waliomaliza Kidato cha Sita mwaka 2014 na 2015 wawe na angalau ufaulu wa masomo mawili alama C  pointi 4
 2. Waombaji wa Stashahada (NTA level 6) katika fani za Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Maendeleo, Upangaji wa Miradi, Sheria, Utunzaji wa Kumbukumbu, Uchumi na Maendeleo, Ualimu, Utawala na Rasilimali watu wawe na wastani wa alama B au GPA ya 3.0 kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na NACTE au TCU
 3. Ufaulu wa mtihani wa kidato cha nne angalau masomo manne kwa kiwango cha alama “D” au zaidi.

Stashahada ya Uzamili ya Maendeleo ya Jamii (Postgraduate Diploma in Community Development)

 1. Shahada (Degree)
 2. Stashahada ya Juu (Advanced Diploma) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na NACTE au TCU

Fomu za maombi zinapatikana katika maeneo yafuatayo:

 1. Ofisi za Taasisi- Tengeru Arusha
 2. Tovuti ya Taasisi: www.cdti.ac.tz

Kwa maelezo zaidi piga namba 0736210917 au 0784315619 au 0759881052
Email: info@cdti.ac.tz

 Find us on google map
Contacts
 • Tengeru Institute of Community Development (TICD) ,
  P.O. Box 1006,
  ARUSHA
  Tel: +255736210917
  E-Mail: info@cdti.ac.tz
  Website: www.cdti.ac.tz

 • Photo Gallery
  Quick Links